Friday, 4 March 2011

Blog mpya: MBEYA YETU

Tunapenda kulitambulisha wadau wote  libeneke jipya la Mbeya Yetu ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari  mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com . karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.

Kwa pamoja tunaweza.

1 comment:

emu-three said...

Tunashukuru sana kuwa wapiganaji kwa njia ya mtandao wanaongezeka. Karibu sana mkuu. Na dada Candy nashukuru sana kwa kuwa nami wakati wa shida na raha. TUPO PAMOJA, DAIMA AU SIO?