Kwanza sikujua hata niandike kichwa cha habari vipi - nimeandika hivyo hivyo ili mradi tu uelewe. Pili sijui kwanini hili wazo limenijia kichwani, labda kwasababu na mimi nabadilisha sana muonekano wa blog, basi nikaona niangalie na wenzangu wanafanya nini, kwanini nimeangalia "at the bottom"...sijui! Nimeweka zile ambazo nimeona ziko interesting, sio kwamba yako is "not interesting" ndio maana sijaiweka...hapana, nakutafutia topic then nitaweka, usijali ok? hahaha! Let's start (click the images to zoom)
Of course me, myself and I! I think the bottom is like the "dumpster"...you just "dump" everything there! The logo, a couple of widgets that I don't really want people to see...and yes, it all belongs to me! (I think)
KULIKONI UGHAIBUNI kwa Mr. Chahali - I said about "dumpster" right? Hehe! I see he got a couple of buttons and widgets, I think I can see G5 there and a couple of words at the bottom and Evarist, in case you didn't know, we are in 2010 - yours still says 2006
Mr. Chib! Naona blog imebadilishwa muonekano - ila mbona unajificha kaka? "About Me" umeiweka chini kabisa! Hehehehehe
Fadhy (mwananchi yeye) - Yeye kaweka taswira nzuri sana na kasema "Barabara hii itakufikisha mahali"...Eeerm...uum...where?
Kwa Mfalme Mrope - Tanzania bila UKIMWI inawezekana!!! (I like it!)
Ndugu M3 (au ndio emu-three? hehe) naona umetuwekea option ya ku"search" kwenye blog - hii nimeweka kwasababu nadhani it is one of the cleanest "bottoms" I have seen so far. Well done!
Maisha na Mafanikio - sijawahi kabisa kuiona hii picha mpaka leo nilipoamua kuangalia huko..."chini" na kwa dada Yasinta nikakuta hii picha. Kusema ukweli nilishtuka kidogo (vile nilikuwa peke yangu...halafu usiku) ila nimeipenda na ujumbe wake unasema "Wote tutakuwa hivi hivi" - Kweli...au nilichoogopa ni uzee na kwamba mimi nitakuwa hivi hivi? I don't have a choice but I wanna grow old "gracefully" lol!
Teacher Matondo pia anatupa ujumbe ule ule kuhusu UKIMWI
Michuzi showing off his numbers - "uuuuh"
Mr. Mubelwa Bandio kwenye "Changa-FIRE" na kwa kutia msisitizo kuhusu "moto", check out the counter! Fancy! hehehehe. The quote is really cool...it says "I don't know the key to success, but the key to failure is trying to please everybody" BILL COSBY (1937 - ) . The funny thing about this is the Bill Cosby's part...the year...it looks like you are "waiting" for him to "die"...so you can put the other year! Ukweli, ukweli?
I had so much fun doing this, nothing personal, just for fun, I hope you have enjoyed it as much as I did guys. Exploring places that not most reader really think of looking but now you reader reading this, check those places! You never know what you will find! LOL! Much love from candy1!

6 comments:
Nimestukia kumbe Blogu kibao nilikuwa siangalii chini kabisa kunani!
Hehehe Simon, vizuri umeelewa somo :-), now kachunguze uone lol
Kawaida blog ninapoisoma kwa mara ya kwanza huwa naagalia yoooote mpaka bottom, ndio maana ya Yasinta nilitoa ujumbe wangu wa kwanza kwa hiyo picha ya mama wa Kimasai sijui!
"About me" kutoka kwangu, Duh! Sikuwa na wazo lolote, hata mwenyewe nashangaa mbona ipo chini! Nitaihamisha hapo muda si mrefu. Halafu....Ah! Mbona sijifichi Dada, nipo wazi kabisa. Ebu tulinganishe na Emu three halafu sema mwenyewe nani utampa tano :-)
Ha haa haaa, mimi huwa naangalia machapisho tu, safari nyingine hata jina la mmiliki wa blogu wala picha siangalii. Dah, inabidi nibadilike
sitaki, sitaki, sitaki, wapi watu wanakwenda kukata rufaa? eeeh, blogu yangu ya zamani imenyanyapaliwa? au kwa vile nimepumzisha, wiiii, nalia, nalia, nalia na mimi nataka mwanangu aonwe nukta77.blogspot.com mumwone wowowo lake hamsini-hamsini.
Hehehe chib! Nilisema tu because "Kuhusu wewe" umeiweka chini so nikaona labda umeamua kujificha watu tusikujue! Hahahaha! - Badilisha halafu nita-compare na M3 lol!
Upepo - Kwa kweli inabidi! hehe
Subi - hahahahahahha! siku hizi tumeshahamia wavuti basi tumemsahau huyo mwingine lol! But I loooove the bottom! 100! hahaha
Post a Comment