Naongea kila ninachokiona bila chuki ndio maana "najihami" na kusema "I am just saying...", either take it or leave it.
Nimeamua kuongea kuhusu hili baada ya kuangalia CNN MultiChoice African Journalist Awards. It is absolutely amazing seeing people making great stories, going to the source of the story, getting the untold and etc. Also the person who took the overall award of this year 2010, Sam Rogers, she was getting the story about the albino killings in Tanzania though I didn't get a chance to see the documentary
Our neighbours Kenya did well in the awards ceremony; not only Kenya but also Mozambique, South Africa and all others. When I switch on the radio and "tune", about 95% of all stations just do music. News will be read for about 5 minutes and it is done. Music is not the problem, the problem is Tanzanian radio stations not interested in things happening around the world.
Kama mambo yenyewe ndio hivyo, awards zitakuja kweli huku? Au ndio awards za hukuhuku za kumwaga?...Au ndio wanaona hizi redio za nje, namaanisha BBC au Deutsche Welle or VOA, wakileta habari zao ndio inatosha? I am just asking
9 comments:
MMhhh, sijui labda tuwaulize wenye redio, manake sie ni wasikilizaji tu, kwa ujumla sisi nasi tungefurahi kusikia kuwa mshindi mmojawapo katoka huku kwetu!
Very good observation Faith, I like your post.
May be all these stations depend on music to survive and remain operational, at the same time, musicians depend on them as well in order to sell their music, so it's like head chasing tail (ying yang), "you need me, I need you" to survive. While they are doing so, the rest of us are deprived of news and what's happening in the rest of the world.
That's why I have resorted into reading news online. There is no need to bother because if I don't like it, who cares? I might as well go start my own radio station, but since I can not do that, I drag my feet to the internet. Who knows may be the aim of these radio stations is music? So we could be complaining and B*ing in deaf ears, LOL.
Utaambiwa kama hupendi muziki saa zote, zima redio, au nenda kazitafute mwenyewe. La haula!
Nilishawahi kulijadili hilo, lakini watu hata hawakushtuka; wakaangalia documentary moja kutoka Mombasa (kuhusu madawa ya kulevya) wakaondoka.
http://vijana.fm/2010/07/08/habari-zilizofanyiwa-utafiti/
Tunajua kuwa tatizo ni uvivu ambao unaambatana na ukosefu au kudumaa kwa ubunifu.
Nimekuwa nikijaribu kuzitafuta documentaries kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, na ni chache sana zimetengenezwa na waandishi wa habari kutoka Tanzania:
http://vijana.fm/tag/documentary/
Kusema ukweli sijui huwa wanafanya nini!
Ni kubadilisha mtazamo tu maana redio zetu ndivyo zilivyo na ndio maana karibia zote zina fanana na ukijaribu kujitofautisha basi na wenzio wataiga mnakuwa sawa, mfano mimi sipendi taarabu kabisa lakini ikifika mchana redio zote zinapiga taarabu na vipindi vinafanana
Bora umeliona hilo da'Faith.
Mie nilishakata tamaa na vijiredio. Ndio maana huwa sikosi bibisii na nyingine kama hizo. Hata nikiwa Bongo wakati naangalia DSTV, wakija wageni utashangaa ebu weka channel sijui 5, au sijui tibisii wani kuna watu wananengua, wakati mimi nilikuwa naangalia discovery, na nyingine kama hizo....
Halafu jamaa nikiwasimulia habari za bongo nilizozisikia, wanashangaa eti hawajui.
Radio huwa nasikiliza wakati wa taarifa za habari tu iwapo nipo njiani naelekea kwenye mihangaiko.
This is true. Kibaya zaidi ni kuwa hata hiyo 5% iliyobaki, hawana habari zaidi ya TAARIFA kama nilivyoandika hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/09/tanzania-yangu-yenye-vyombo-vingi-vya.html.
Nyumbani ni uozo mtupu kwenye tasnia ya habari.
Tunajifanya tunapenda burudani ilhali hatuna cha kusherehekea. It's a shame.
Tunairithisha jamii uozo wa kupenda virahisi. Mimi binafsi huwa nazungumza na watu wa media na ukiwauliza kwenye station zao wanafanya nini, wanasema MUZIKI ZAIDI na sababu ni kuwa NI RAHISI kufanya vipindi vya muziki. Wengine wanalipwa na wasanii kucheza nyimbo zao.
Nani anataka kwenda kusaka habari mtaani?
Nikiwa Times Fm sisi tuluiokuwa kwenye dawati la Habari / Michezo ndio hatuthaminiki zaidi. Inasikitisha kuona ma-Dj wanapata heshima kuliko wanahabari.
Ukisikia habari zinazotamba ni za UDAKU.
Sijui kizazi kunachokua sasa kinachoaminishwa kuwa UDAKU NDIO HABARI kitakuja kubadilika vipi?
Nami NAWAZA KWA SAUTI TUUUU
Aaaaaa, Fei jamani, mimi sina zaidi ya kuongeza wasemaji wa awali. Ila ndio hivyo kila aanzishae Radio (sijui kwa nini nisiandike redio) mawazo yake ni kuwa na nguvu kazi rahisi ya Ma-Dj kuliko watangazaji waliosomea au waandishi wa habari waliopata mafunzo ya kazi hiyo, ndio maana wanaelekea kwenye muziki zaidi kuliko habari, maana hata katika hivyo vituo vyenye hiyo asilimia 5 ya habari wanaosoma si Ma-Dj. Kuna mvuto mkubwa kama mwenye kituo cha redio kuwa na muda wa kutosha wa habari na kuzichambua kwa kukaribisha wataalam wanaojua mada ya siku au ya wiki, bila kuegemea zaidi kwenye muziki ambao unaweza kufungua redio nne kwa wakati mmoja wakawa wanapiga wimbo huo huo. Wakati wa kujirejebisha umefika sasa kwa vituo vya redio vya Bongo.
Nkwanga.
U need to go back to your filthy East Lonndon and leave our beautifull TZ alone.The School year have already started.
Post a Comment